Sehemu ya ndani ya basi hilo baada ya ajali.…
Mmoja wa majeruhi katika ajali hiyo aiitwae, Andendekisye akiwa katika Hospitali ya Ifisi jijini Mbeya.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ifisi, Dkt. Mbilinyi akiongea na mmoja wa majeruhi jana asubuhi.
Lori ambalo basi la Muro lilijaribu kulipita na kupata ajali.
Majeruhi ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema, dereva huyo alikuwa mwendo kasi tangu wapo maeneo ya Mikumi Morogoro na kuendelea kudai kuwa walimpa onyo mara kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliza na akaongeza mwendo zaidi mpaka walipopata ajali hiyo maeneo ya Senjele, Tunduma.
0 Comments