Mwanafunzi wa shule ya Ngwachani iliyopo Zanzibar Selemani Sareh akinywa dawa ya kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo visiwani humo. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Sira Ubwa Mwamboga (mwenye kilemba) na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya dawa ya kijerumani iitwayo Merck Dk. Karl Ludwig Kley(kulia). (Na Mpigapicha Wetu).