Msemo huu huwa naukumbuka sana pale ninapotaka kitu changu kwa kupewa masharti magumu,kwa mfano kipindi kile nasoma na sijui kupika sasa dada yangu ananiambia ili niwapikie wadogo zangu kaosheni vyombo aisee huwa namkumbuka sana dada yangu.au ili mnunuliwa baiskeli mnaambiwa acheni kukojoa kitandani kwa muda wa mwezi mmoja.