Waungwana na wapenzi wa Maganga One Blog,leo mimi na mke wangu tunatimiza miaka 11 ya ndoa yetu.Hivi nitakuwa nina kosa nikiwaacha kidogo bila news kwa leo?nawaomba radhi kwa kutokuwepo hewani kwa siku nzima ya leo ili tujaribu kujumuika pamoja na bibie,mama watoto,mke wangu kipenzi mama Sharoon,mama Roshan.


Karibuni sana nyumbani kwa mambo fulani ya madikodiko....Maganga One.