Hizi ni baadhi ya picha za mpambano wa jana kato ya Fc Barcelona na Chelsea Fc ambazo timu hizo zilitoka sare ya goli 2-2 na kwa sare hiyo kuipeleka Chelsea kwenye fainali na Uefa.