Bondia Francis Cheka jana alijidhihirishia kwamba yeye bado ni bondia bora Tanzania baada ya kumchapa kwa TKO bondia Mada Maugo katika raundi ya saba ya mchezo wa raundi 12.Mada Maugo baada ya kuona kwamba alizidiwa vyakutosha katika raundi ya 6 ilipotaka kuanza raundi ya saba hakakataa kuendelea na kusema amekubali kushindwa kwani hana pumzi tena za kuendelea na raundi zingine.(picha kutoka maktaba)