Jamani kwa wasiomjua Fatuma Mashauzi Classic basi leo nawapa picha zake ili mumuone.Huyu ni Mrs Eddy ni jirani yangu ambaye mjumbe wa kamati ya kinadada wa kiafrika wanaoishi majuu.
Swali la kwanza kumuuliza Fatuma Mashauzi Classic ni Nini siri ya mafanikio ya urembo wako?Alinijibu: mwanamke ni kujipenda na mwanamke ni mvuto ili uonekane mrembo basi lazima ujitunze.
Pichani Fatuma Mashauzi Classic akiwa Azashaplus Hair Salon ambapo ndipo anapojiweka soapsoap na kuonekana mrembo kila kukicha,ushauri wake ni kwamba kina dada wenzake wote wakitaka kusuka nywele aina zote za mitindo na kwa bei nafuu wasisite kufika anapotengeneza nywele yeye Azashaplus Hair Salon ambao wanapatikana  kwa simu namba +32492253601 email keishaone@ymail.com na ili kuona kazi zao msisite kutembelea blog yao kwa kubofya hapa http://keishaone.blogspot.com  Ujumbe wake ni kwamba Umoja,Upendo na Ushirikiano ndio nguzo mojawapo ya maendeleo na kina dada tujitume kwani wasichana wa kileo ni kupiga kazi.