Picha hii hawa waendesha au wasukuma baiskeri wanamakosa zaidi ya matano kila mmoja je unayajua makosa yao?
Picha hii waliopanda juu ya gari na dereva wao wanamakosa zaidi ya sita je unayajua makosa yao?
Hapa je kuna kosa lolote?