Ofisa Mauzo wa Bohari ya Dawa (MSD), Freddy Fundi (kulia) akisikiliza maswali kuhusu dawa zinazosambazwa na Bohari hiyo kwa wadau wake hasa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchini wakati wa semina ya wadau wa kanda ya Dar es Salaam ambayo inajumuisha mikoa wa Pwani, Zanzibar, Pemba, Morogoro na Dar es Salaam. (Picha na John Nditi).
0 Comments