Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitia saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo katika Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.(Picha na Ikulu).