Waziri Mkuu Mizengo Pinda ( wa kwanza kulia) akizungumza na mkulima wa vikundi wa Kijiji cha Pangawe, Zarau Hemedi ( kushoto) alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) , ( wapili kutoka kulia ) ni Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon . 
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinga akikagua zana za kilimo za kijiji cha mfano cha kilimo cha Pangawe
Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon akikunjua kutambaa kwenye bango lililoandikwa maelezo ya mafunzo kwa vikundi vya wakulima wa Kijiji cha Pangawe , huku Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiyasoma kwa makini wakaati alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) . Picha na John Nditi