Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadick Meck Sadick akipata maelezo juu ya uharibifu wa mali na uhai uliosababishwa na ujenzi wa mabondeni eneo la Mtoni Kijichi ambapo nyumba zimeanguka na kuua watoto juzi. Kulia ni Diwani wa Mbagala Kuu, Anderson Charles. Picha ndogo kushoto ni moja ya nyumba zilizobomoka. (Picha na Grace Mkojera).