Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Profesa Mwesiga Baregu (kulia) ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Kuratibu Maoni Kuhusu Katiba wakati Rais alipotembelea ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).