Rais wa Tanzania muheshimiwa Jakaya Kikwete hivi majuzi alipowasili mkoani Tanga kwenye sherehe za sikukuu ya wafanyakazi mei mosi alijikuta anashangiliwa haswaa na mashabiki wa chama pinzani na ccm cuf,picha hii imejidhihirishia kwamba Tanzania pamoja na utofauti wa vyama ila bado watu wanapendana kama kawaida.