Baiskeli za kukodi zikiwa zimepaki kwenye viegesho maalumu.Baiskeli hizi hazina mlinzi kwa jinsi watu walivyo na maendeleo na walivyojijengea misingi bora ya maisha.unachotakiwa kufanya hapo ni kutumbukiza sarafu kisha baiskeli inajitoa loki yake na wewe utaendesha kwa safari yako kisha una ruhusiwa kuiacha mahala popote na wahusika wataitambua baiskeli yao mahala ilipo kwa kuwa ina kifaa maalumu kinachoonyesha wapi baiskeli ilipo.