Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi mara alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu Mheshimiwa...." anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi. Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheratonjijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo Aprili 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt. Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo Aprili 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt. Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo Aprili 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
(PICHA ZOTE NA IKULU)