Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo. 
Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo mjini Arusha.