Johari Juma akijiandaa kumlisha mwanawe Frank Temu aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na majeraha aliyopata baada ya kushambuliwa na kukatwa mapanga na mtu asiyejulikana Jumanne iliyopita katika kijiji cha Mtakuja A, Bagamoyo, Pwani. (Picha na Gloria Tesha).