Maendeleo waliyonayo wenzetu wa Japan sio mchezo,Hapo unaweza kuona vitendea kazi vya askali wa usalama sio mchezo. 
                  Kama unavyojionea pikipiki ya polisi yenye kifaa cha kuvutia magari.
Askali wa usalama barabarani nchini Japan akilivuta gari lililofanya makosa...

                                (picha mzee Said Sleyyum wa Ilala Dar)