Mmoja wa vijana wadogo sana wenye kujipenda (Sharobaro wa Europe) ni kijana Yusuf ambaye binafsi napenda jinsi anavyojipenda.
Kwa ulaya hivi sasa ni kipindi cha Summer,kushoto ni King James akiwa na bwana mdogo Yusuf baada ya kupata vinywaji kupoza mwili kwa joto la ulaya hivi sasa.King James ni mmoja wa mapromota mashuhuri nchini Holland na kijana Yusuf ni kijana mdogo mwenye kujipenda (Sharobaro wa europe)
Kijana Yusuf akiwa juu ya Black Carpet akipata picha .....inapendeza kwa vijana kuwa wasafi na kujipenda kama Yusuf.