Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Chama Wilaya ya Kaskazini A,alipofika kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]