Mbunge wa jimbo la Ubungo,John Mnyika akitoka katika ukumbi wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma leo baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania mjini Dodoma leo baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo,John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo mara baada ya kuondolewa Bungeni mjini Dodoma leo baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dodoma.
Post a Comment
2
Comments
Anonymous said…
lugha aliyotumia mbunge si njema sana lakini tukumbuke kuwa mweshimiwa alikuwa na jaziba juu ya wanainchi wa tanzania. kiukweli bajeti haiendani kabisa na jinsi wtanzania tunavyoheshimika duniani.
Anonymous said…
hatujawahi kuona wala kusikia mbunge wa ccm katolewa nje ya bunge si kana kwamba ni watumiaji wazuri wa lugha. let us think twice.maamuzi haya yatajenga chuki dhidi ya vyama.
2 Comments