Wachezaji wa timu ya Soka ya Taifa ‘Kilimanjaro Taifa Stars’ wakijifua kwenye Uwanja wa kituo cha Michezo mjini Abidjan kujiandaa na mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast inayotarajiwa kufayika kesho kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny. |
0 Comments