Watu mbalimbali wakisaidia shughuli za uokoaji katika eneo hilo. 
Lori la mizigo ambalo nalo lilipinduka mara baada ya ajali kutokea.
Watu waliofika katika hospitali ya Rufaa kutambua miili ya marehemu.
Polisi na watu mbalimbali pamoja na wauguzi wakisaidia kazi ya kushusha miili.
Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya, Dk.Sankey akithibitisha vifo vya Abiria 13 na majeruhi 20 katika ajali hiyo.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog wa kwanza kushoto aliyevalia shati Jeupe, Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la tukio mara baada ya kumaliza kazi yake.
TUKIO ZIMA KWA HISANI YA http://mbeyayetu.blogspot.com/