Siku za hivi karibuni kumekuja staili mpya ya uvaaji wa nguo.Wengi wa wasichana hata wavulana wamekuwa wakivaa nguo zenye rangi nyingi za mchanganyiko na wengi wao kiukweli wanapendeza.Pichani bidada mtanashati Keysha ambaye leo hii camera yetu imemnasa akiwa amechanganya rangi za nguo na huku akionekana nadhifu na anapendeza unapomuangalia.