Rais wa Tanganyika Law Society(TLS) Mh. Fransis Sitola (wa pili kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na haki za Binadamu(LHRC)Dk Hellen Kijo Bisimba na mawakili mbalimbali wakiwa nje ya Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu baada ya kutoka Mahakamani mjini Arusha jana kusikiliza kesi waliyoifungua dhidi ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kupinga mgombea binafsi.
0 Comments