Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge Bumbuli, Mh. January Makamba (katikati) na Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).