Waziri Mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na Waziri wa Wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia ajali ya kuzama kwa MV.Skagit.
Waziri Mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na Waziri wa Wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia ajali ya kuzama kwa MV.Skagit(Picha na Nafisa Madai-Maelezo Zanzibar)