MWEZI UMEONEKANA, KESHO IN SHAA ALLAAH NI SIKU YA KWANZA RAMADHAAN

Assalaamu ‘Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Tuna furaha kuwatangazia kuwa mwezi umeonekana nchini Qatar na Saudi Arabia, na hivyo, kesho Ijumaa, tarehe 20.07.2011 itakuwa ni siku ya kwanza ya Ramadhaan in shaa Allaah.