Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka wakati gari lililombeba likiwa limesimama katika lango la kuingilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, tayari kusafirishwa kwenda nje ya nchi kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya.