Salum Meja mmoja wa wachezaji wa zamani wa timu ya Villa Squad ya Magomeni Mapipa akipata picha na Sexy Mama.Sexy mama ni mmoja wa watu mashuhuri sana nchini Holland.
Kama ilivyo ada kila nifikapo nchini Holland huwa nafikia kwa bawana mkubwa wangu Hija.Hapa nikipeana mkono baada ya kazi nzito ya kuzungushana miji tofautitofauti nchini Holland matembezini,kuaga kwa kupeana mikono ni raha,kushukuru kwa kupeana mikono ni raha,na kupongezana kwa kupeana mikono ni raha haswaaa.
Maganga One Blogger nikiwa na mama Samantha nyumbani kwake baada ya kumaliza likizo yangu na kupata picha ya pamoja kama kumbukumbu yetu.Mungu akujaalie mama Samantha kwa wema na ukarimu wako.
2 Comments
Wako
James
Maganga One.