Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akielekea katika mnara wa kumbukumbu kuweka silaha ikiwa ni kuwakumbuka mashujaa wakati wa kilele cha siku ya mashujaa nchini mjini Songea.