Binafsi nikiwa angani  ndani ya tumbo langu huwa nahisi kuna vipepeo wanaruka kwa jinsi ya mcheche ninaokuwa nao.Tukija suala la majini ndio kabisaa utasema natokwa na roho sasa hivi kwa jinsi ninavyokosa amani.Ila treni aaaaaaaaahhhhh yani ni full usingizi mwanzo mwisho utasema treni zilitengenezwa kwa ajili ya mkoa wa Tabora peke yake.Wadau mnanipatapata au ndio mfungo  jamani......!!!!!