Nazi iliyovunjwa na mashabiki wa Simba Sc kwa imani ya ushindi ila haikufua dafu..walipigwa 3-1 na Azam Fc.

Vijana wa Azam Fc ambao walifanikiwa kuwatoa Simba Sc ya mtaa wa Msimbazi kwa jumala ya goli 3-1 hapo jana.

Kikosi cha Simba Sc ambacho kilikubali matoke hapo jana baada ya kuchinjwa bila huruma  na Azam Fc kwa jumla ya goli 3-1 na kutolewa nje ya mashindano ya Kagame Cup.Poleni sana watani wangu mashindano haya yana wenyewe.