MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akipokea hundi ya shilingi milioni tano kutoka kwa Meneja uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF), Andrew Kuyeyana ikiwa ni msaada kwa wahanga wa ajali ya Mv.Skagit iliyotokea wiki iliyopita karibu na Kisiwa cha Chumbe
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akizungumza na Meneja uhusiano wa mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF), Andrew Kuyeyana aliyefika afisini kwa Balozi Seif Vuga mjini Zanzibar kumpa pole kufuatia kuzama kwa meli ya Mv.Skagit iliyotokea wiki iliyopita.(Picha na Haroub Hussein).
0 Comments