Raha ya ndoa ni mapenzi ya dhati ushirikiano wa ndani na nje ya nyumba,furaha ya mapenzi ni kuyaonyesha dhahiri machoni mwa watu.Pichani ni Rais Jakaya Kikwete akiwa na mkewe First Lady nchini Tanzania mama Salma Kikwete wakiwaonyesha watu jinsi ya bao la kete linavyochezwa,hapo ilikuwa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam hivi karibuni.