Kwa leo sina mengi naomba niwatakie jumapili njema nami najipa off kwa siku nzima ya leo.