BW DALLAS ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAKE YUNUS DALLAS KILICHO TOKEA TAREHE 23-7-2012 KWA AJALI YA MAJI, MAZISHI YATAFANYIKA TAREHE 31-7-2012 SIKU YA JUMANNE KUANZIA SAA SABA MCHANA HUKO BREDA, JINSI YA KUFIKA MAZISHINI:
  ADDRESS: ARCHIMEDESTRAAT 6,
  4816 BB, BREDA.
...
 WATAKAO ENDA NA TRENI UKISHASHUKA UTATEMBEA DAKIKA NANE, ULIZA MOSKEE ARRAHMAN. NDIO HAPO.
  KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA HIZI:

 0684669503.
  0643885942.

 TUJUMUIKE KWA PAMOJA KATIKA KUMSAFIRISHA MWENZETU KWENYE MAKAZI YAKE YA MILELE