Kula hii kwanza
Pokea na hii tena
Tumalizie na hii
Ramba sakafu kijana,kama unaweza kuninuka inuka nikupe zingine
Unahesabiwa na refa nakusubiri pembeni huku..huna adabu kabisa Pumbafuuuu weeeee...!!!
Vipi kijana sakafu tamu ama? njooo nikumalizie ili ukome kabisa kudharau watu wakubwa
Umeinuka eeehe??? sasa kula na hii ili ukafie mbele ya safari na kama utakuwa na dharau tena sijui...!!!
Haya kazi imekwisha dharau,matusi na kujishaua kote kumekuishia hivii....Knockout ndio dawa ya watu kama nyinyi kijana.








0 Comments