Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Dangio Kaniki (kulia) akiwakabidhi fedha taslim wanawake wa Dar Indian Women Association (DIWA) kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kuwasaidia wanawake hao ambao anajishughulisha na shughuli za kusaidia wanawake mbalimbali hapa nchini.