Serikali ya Zanzibar imefuta usajili wa meli tatu ikiwa ni
mojawapo ya jitihada ya serikali hiyo kupunguza visa vya ajali za baharini.
Serikali pia imeliagiza halmashauri ya kusimamia usafiri ,Surface and Marine
Regulatory Authority(SUMATRA),kuongeza utenda kazi wake hadi Zanzibar |
0 Comments