Casting Coordinator wa ALLY REHMTULLA'S COLLECTION 2012 Audition Martin Kadinda akitoa mwongozo wa zoezi hilo kwa Models walioshiriki.
    Baadhi ya Models wa kiume waliojitokeza Serena Hotel wakisubiri usaili.
Pichani Juu na Chini ni Models wa kike na wa kiume wakipita mbele ya Majaji wakati wa usaili.
Meza kuu ya Majaji kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Alliance Auto Bw. Alfred Minja akiwakilisha CFAO Motors wauzaji wa Magari ya Mercedes Benz ambao ndio wadhamini wakuu wa 'ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013', Aysha Mbarak Meghji kutoka Ayman Garage-Convolution Ideas Ltd, Administrative Assistant Mawalla Advocate na pia ni Model Myler Nyangasa, Mwasisi na CEO wa Missie Popular Blog Mariam Ndabagenga na Fashion Stylist wa Fashionnjukii.com Rosemary Kokuhilwa.

Pichani Juu na Chini Models wa kike wakionyesha umahiri wa Catwalk wakati wa Audition kwa ajili ya kuwania nafasi ya kushiriki "ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013".
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya Models wa kiume wakipita jukwaani mbele ya majaji.

Baadhi ya Models wakiwa katika tafakari ya SIJUI NITAPITA wakati wa usaili huo kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam