`Keagan` katikati
Hayawi hayawi, hatimaye yamekuwa! Ni Msauzi Keagan! Ameibuka kidedea katika kinyanyiro cha Big Brother Afrika na amejinyakulia dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za kibongo! Prezzo ameingia fainali na Msauzi huyo lakini bahati haikuwa yake!
Prezzo