Assalam Aleykum.
Ndugu zangu,jamaa zangu na marafiki zangu wote mliopo nchini Belgium,Holland,Sweden,France,Germany na Uk tunachukua fulsa hii kuwakaribisha katika sikukuuu ya Eid El Fitr itakayotukutanisha katika kula na kusheherekea pamoja siku hii tukufu.

Ili kuendeleza umoja na ushirikiano wetu kwa pamoja tumeandaa sherehe ya pamoja ili tupate kukutana na kubadilishana mawazo.Sherehe hii ambayo haina ubaguzi wa aina yoyote tunawakaribisha waafrika wote tunaozungumza SWAHILI ili tuwe kitu kimoja.

Tunategemea ujio wenu katika kusheherekea sikukuu hii siku hiyo.Jinsi ya kufika sehemu ya sherehe hiyo.
Anuani:
Geel Praatpunt
Logen 104
2440 Geel.
Kwa yoyote atakayeliona tangazo hili tunaomba amtaarifu na mwenziwe.
                                     Ahsanteni.
                                     Mwenyekiti- Maganga One