Assalam aleykum.
Wapenzi wangu wa Maganga One Blog napenda niwatake radhi kutokana na kutokurusha habari kama ilivyo kawaida kila siku,hii inatokana na msongo wa shughuli nje ya Blog...Hali hii itaendelea kidogo kwa siku chache tu  na baada ya hapo mambo yataendelea kama kawaida.

Nawaomba sana mnisamehe kwa kutowajibika kuwaletea habari ipasavyo wapenzi wa Blog hii.Tujitahidi kuwa na uvumilivu kwa siku chache tu.Nategemea kuwa mtanielewa na kushirikiana nami katika kuwa pamoja katika Blog yenu yenye habari kedekede za kila kona ya dunia.
                                        Maganga One.