Mjamaica Usain Bolt akishangilia baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mbio za wanaume mita 100 kwenye michuano ya Olimpiki jana.
Tiffany Porter wa Great Britain akiruka kiunzi katika shindano la kuruka viunzi kwa wanawake mita 100 leo kwenye uwanja wa Olympic.
Silva wa Brazil akiruka kuwania mpira, pembeni yake ni mchezaji mwenzie, Larissa Franca wakati wa robo fainali ya mpambano wa wavu kwa wanawake unaochezwa ufukweni dhidi ya Ujerumani jana.