Goli la kwanza la Manchester United lilifunguliwa na kijana mpya Robin Van Persie kwa mkwaju mkali wa kiufundi uliokwenda moja kwa moja kwenye nyavu.
Waaaaaaaaaaaawwwwwww...!!!!! I love Manchester Uniteeddddddd......!!!!! Robin Van Persie..!!
             Shinji Kagawa akiandika bao la pili kwa Manchester United
Na hivi ndivyo Manchester United walivyofunga ukurasa kwa bao 3-2 dhidi ya Fulham ndani ya Old Trafford.
Oooooooopssss...!!! Kijana Wayne Rooney atakuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kutokana na kuchanika kwa msuri kama unavyomuona pichani akigumia maumivu anayoyapata.