Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre 
Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongezaidadi ya kufahamika kwake.
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.