Sehemu mahsusi kwa ajili ya kusomea Quran iliandaliwa kwa ajili ya vijana maalumu waliosoma Quran
Hawa ni baadhi ya mabinti waliosoma Quran...pichani wakiwa makini kusikiliza nini kinafuata
Wazee wetu ambao walihakikisha kila kitu kinaenda sawa ukumbini hapo.pichani wakiwa makini kusikiliza Quran tukufu iliyokuwa ikisomwa na baaadhi ya wanafunzi siku ya Eid.
Wanafunzi wadogo ambao walikuwa wakisubiri muda ufike ili wakasome wakiwa wamesimama pembeni na kusikiliza majina yao.
             Bidada Sharon Maganga One akisoma Quran kwa utulivu na uhakika
Kijana Karim ambaye alisoma Quran vyema siku ya Eid,pichani akiwa bize kusoma Quran
Wageni waalikwa toka sehemu mbalimbali barani ulaya walikuwepo kwenye sherehe hizi za Eid nchini Ubelgiji
                     Pichani baadhi ya wageni wetu waliofika ukumbini hapo
                                           Chakula cha pamoja siku ya Eid 
Maustadh walikuwa wametulia vyema kusikiliza mawaidha ukumbini hapo
Lengo ni kukutana,kula pamoja na kubadilishana mawazo na hivyo ndivyo picha inavyojidhihirisha..
Cherie kushoto na Moza kulia walisoma Quran na kutoa tafsiri kwa yale yaliyosomwa siku hiyo.
Makofi na pongezi kwa kila mmoja aliyesoma Quran siku ile,sikukuu ilifana na kila mmoja alifurahi