Wengi wao walijikita katika michezo ya kubahatisha.
Mvua ilivyopunguza idadi ya waogoleaji ufukweni hapo.
MVUA zilizoendelea kunyesha kwa vipindi vingi leo sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, zimetibua utaratibu mzima wa watu kwenda kusherehekea sikukuu ya Idd Pili katika fukwe za Coco Beach jijini Dar. Mvua hizo zimesababisha kukwama kwa pilkapilka nyingi zikiwemo za kuogelea, usafiri na kujimwaya katika maeneo wazi.
PICHA ZOTE: ERICK EVARIST&GLADNESS MALLYA
0 Comments